Nyota Ndogo Afunga Pingu Za Maisha **Picha Za Sherehe Hio**

Ni mkongwe katika tasnia ya mziki wa hapa Pwani. Amekua katika fani ya mziki ya mziki kwa zaidi ya miaka 16. Hapo Jana, siku ya Jumapili iilikua siku ambayo ataienzi kwenye kumbukumbu zake kwani aliwezza kufunga pingu za maisha na mchumba wake wa miaka miwili, Nielsen mwenye asili ya ki,dutch.
Sherehe hio ya Jumapili ndio ilikua kilele kwani ilikua imeanza siku ya jumamosi kwa harusi iliyofanywa ki,Islamu na sherehe hio ya Jumapili ilifanyika katika mkahawa wa RoseWood Hotel, mjini Voi.

Ni sherehe iliyowezwa kuhudhuriwa na watu maarufu mbalimbali haswa katika tasnia ya mziki kama vile Esther ingolo, Sis Shaniez, Linnet Kanini, Hustla Jay, Johnny Skani, Beryl Kawere,  Kaa La Moto, Amourey Beyby, Lil Guy G, Hassan Faisal, Vivonce na wengine wengi.

Tunamtakia kila la heri dada Nyota na Neilsen katika maisha yao mapya ya ndoa.














Comments

Popular posts from this blog

ThrowBackTrack.... MACHUNGU - Daddy Sele